iPad3 64 gb

iPad3 64 gb

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
contact: 0714319384

skype:emilkpwayne

*maelewano,exchange zipo so nitafute
 
Yani nipoteze hela yangu kukupigi Ili nipate details ambazo ningeweza kuzisoma hapa bure afu nikajilipua?

Si hei niende dukani moja kwa moja?
 
Yani nipoteze hela yangu kukupigi Ili nipate details ambazo ningeweza kuzisoma hapa bure afu nikajilipua?

Si hei niende dukani moja kwa moja?[/
QUOTE]

Naona haupo serious na business yako, kwani umeshindwa nini kuweka details zote ikiwezekana na foto yake?
 
weka some details brother, if i will be interested ntakushtua
 
Yani nipoteze hela yangu kukupigi Ili nipate details ambazo ningeweza kuzisoma hapa bure afu nikajilipua?
Kwani u avyopoteza muda kuenda dukani na nauli huon hilo??? Photo cjaeka hapo??? Usiropoke kama mlevi ww ukiona hamna details piga au tafuta tangazo linalo kusuit sio unaongea sana kama mama mjamzito.
Si hei niende dukani moja kwa moja?[/
QUOTE]

Naona haupo serious na business yako, kwani umeshindwa nini kuweka details zote ikiwezekana na foto yake?
 
Back
Top Bottom