Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani...
0 Reactions
103 Replies
36K Views
Habari za kazi wadau, Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Habari, nauza hi Yamaha boat engine kwa bei poa kabsa ikiwa kweli hali nzuri karibia mpya. Yamaha 115 Fuel injection Fourstroke Petrol 115hp Bei 11m negotiable mapatano kdg Pia nakubal exchange...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mwenye nazo anicheki whatsap faster 0766302495. sharti iwe au ziwe zako au rafiki yako ofa yangu n 300k kwa kila TV kampuni yoyote iwe HD. hela ipo mfuko wa shati
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ishauzwa asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu, Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI Ya muda huu JF, Kama Headline Ilivyojieleza Hapo Juu. Ninatafuta Balo la Nguo za watoto mixture Kuazia Umri Wa Mwaka zero Hadi 4 Ikizidi Iwe Kuazia Umri Wa Mwaka 0 Hadi 5. Mwenye Kujua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi natafuta kazi ya planning and pipe fitting ni Fundi Nina uzoefu mzuri zaidi ya mwaka nimesomea Veta lev2 nafunga system zote za maji na ni dereva pia Namba 0712233653 au majaliwae6@gmail.com
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Ziko DTF mbili Kuna newkins Ambayo ni used na pia Kuna DTF za kampuni ya YingHe ambazo ni mpya na accessories zingine Kama 8 in 1 Heat compressor, Kuna paper cutter machine, kuna inks na cleaning...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna Kama hii used black in color ínataka 150,000 ipo kariakoo ni used Ila unapiga kazi Kama kawa nipigie 0659167416
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu. Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini...
0 Reactions
4 Replies
476 Views
Naitaji pool table used naomba tuwasiliane 0762502983
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Wakuu, nakuja Dar. Nipo njiani. Naomba contacts za lodge zilizopo Magomeni Mapipa. Bei iwe shilingi 30,000. Isizidi hapo. Iwe na utulivu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza TP Link Routers . *New* Specs zake: TP-Link Wireless Router 300M Wifi router TL-WR842N 2.4G Wireless router Wifi repeater TPLINK 802.11b. TEXTS/CALL:- 0755 907671 TSH 130,000/=
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Boxer BM 125cc DLQ 1,930,000/ IPO Temeke Yombo Call 0652659775
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Salute bosses Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi...
15 Reactions
835 Replies
113K Views
Back
Top Bottom