Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Uongozi wa st. Marcus pre, primary and secondary school iliyopo iwambi mkoa wa mbeya inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza (msingi) na kidato cha kwanza (sekondari)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ipo mikwambe fundi baisikeli ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room jiko na public toilet bei milioni 80 mzungumzo yapo pia ina vyumba viwili masters...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
2012 Subaru Impreza G4 for sale. Automatic Trans. Number plate utachagua ww. Low Mileage. Bodykit kali + Muffler & Air intake mods ndogo. Smart Radio + Push to start. Bei ni 22.5M plus usajili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello, Naitwa khadija TUNATOA HUDUMA za kuandika barua za maofisi, invoice, delivery, excel. Tunajua sio kil Mtu ana komput au ana uwezo Wa kutumia komputa, hivyo kila kitu na tunafanya through...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
- Ist au Premio lenye hali Nzuri. Kwa matumizi ya kwenda kazini na kurudi -Rejesho 850,000 kwa mwezi au kwa week - kwa miezi 18 -mimi ni mwajiriwa Sekta binafsi sina familia - bank statements na...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu Habari natafuta single self maeneo ya kuanzia nanenane njiro kurudi nyuma mpaka fiber au na Zaid kidogo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Okoa gharama kwa kufunga taa hizi za solar. Taa hizi zinamfumo wa kujiwasha zenyewe kila baada ya masaa kadhaa kama utakavyo iseti pia zinakuja na remote control yake ya kuseti Zina sensor...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Habari Wakuu,kwa wale ambao wanafikiria kujenga au kuanzisha miradi mbalimbali kwenye Jiji la Dodoma wakati ni sasa. Unaweza kujipatia Viwanja kwa Bei nzuri kabisa kwaajili ya Matumizi ima ya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup. Watu wengi wanafungua studio za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Samaleko Kwa wakazi wa daslamu na viunga vyake Napokea oda ya shuka za kimasai wiki hii yote mnipe oda mapema kabla sijaondoka arusha Nawasilisha.kwa maelezo zaid mnicheki whatsapp 0713968020
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Tunafanya huduma zifuatazo Kwa Bei nafuu zilizo na ofa za kutosha :- 1. Windows installation ( 10, 11) - 20,000 Tsh Utapata ofa ya - ms office activated - windows activation - na basic software...
1 Reactions
0 Replies
533 Views
Habari za wakati huu; Wamiliki wengi na wasimamizi wa shule wanatumia mifumo mbalimbali ya usimamizi wa shule.Leo ninataka nitambulishe kwenu mfumo wa usimamizi wa shule ambao ni wa kipekee wenye...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Kwa mahitaji ya Viwanja ndani ya jiji la Dodoma nunua kupitia kampuni ya #BlueSkyRealEstate. Viwanja ni vya uhakika na unaweza kulipia kidogo kidogo mpaka mwaka mmoja (Miezi 12). Kama utalipia...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au what'sApp...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Tunauza mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone Drip Irrigation system. MIFUGO PLUS GROUP tuna pipes zenye uwezo wa kutoa maji kwa mfumo wa matone matone kwa ufanisi mkubwa zaid pia Drip...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pale unaposema kitu chochote ni cha kisasa unamaanisha kinatumia technologia ambayo haijazoeleka. Maana yake ni kitu kilichotengenezwa na maarifa mapya. Na technologia izi hazijawekwa zote mahali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom