Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Heri ya siku mpya wakuu.😊 Habari za wakati huu Kwa Mahitaji ya Vyombo vya nyumbani, with best Quality kwa bei rafiki karibuni dollrubii_decors Napatikana Dar es salaam Tunafanya delivery Mikoani...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
1 Reactions
0 Replies
842 Views
Nyumba inahitajika maeneo ya Goba isiwe ndani sana mbali na barabara ya lami,Ofa iliyopo ni Milioni 40 - 50.Mazingira yawe mazuri.
0 Reactions
4 Replies
657 Views
Jipatie nguo za ndani za chupi na brazia kwa bei nafuu Brazia kuanzia -5000 Chupi kuanzia -2500 Mawasiliano -0787903009
1 Reactions
5 Replies
727 Views
SEAGATE HARD DISK 6 TB SATA 250,000 TSHS USED MORE INFO 0682 054229
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Kwaza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mungu na pia kwa mtu alienisaidia humu JF nikapata kazi. Sasa nataka kuuza simu yangu infinix hot 7 180000 ili niweze kupata nauli ya kazini...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Boma linauzwa kigamboni,maweni Bei 3,500,000 Piga simu 0712347749
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habar za wakati huu wakuu? Nashkuru kwa wote ambao mmeendelea kutuamini na kufanya kazi na sisi nimeuza simu na tablet nyingi sana humu Asanteni kwa sapoti yenu kubwa Fursa nilizo nazo kwenu...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nauza tractor John Deere Lina jembe full bei 41 million
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa yoyote atakaye Hitaji "Fiber Optic Patch Cord" kama unatumia Fiber Internet popote pale ulipo ndani ya Mipaka ya Tanzani, tuwasiliane 0715 240 140.
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello habari Anayefahamu aina za madini ya green tofauti na soko lake na picha tafadhali
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili ni Trailer la mtumba kwajili ya kubeba mizigo ya Abnormal,ukubwa wa exle 4, liko Johannesburg South Africa, bei yake ya manunuzi pamoja na ushuru usafiri ni 160ml Tsh, wasiliana na kwa...
1 Reactions
7 Replies
887 Views
Dsm 0626 876 896 256gb Camera nzuri sana. Inakaa na charge muda mrefu. No scratches No blemish. Haina tatizo lolote, simu yangu binafsi nauza. [emoji419]picha zimepigwa kwa Tecno
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Kitanda na godoro vinauzwa vyote vipo katika hali nzuri. Bei ni 180,000 tu Vinapatikana Mwanza-Pasiansi.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa yeyote alie na kioo cha samsung not 20 ultra ninahitaji na bajet yangu ni 300,000 tsh.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Suti za watoto miaka 2 - 17 ✓ Size zote Zinapatikana ✓✓ Bei[emoji116] Suti - Tsh.80,000/= Shati - Tsh. 25,000/= Cheni - Tsh. 10,000/= Complete suti - Tsh.115,000/= ( kama kwenye picha)...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Sheikh Ilunga Hassan Kapungu kaingia katika historia ya Dar es Salaam katika kifo chake. Bahari ya watu waliojazana Msikiti wa Kichangani kuja kuswalia jeneza lake na kisha kulifata nyuma jeneza...
9 Reactions
43 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji dalali ambaye ataweza kuuza nyumba zilizopo Iringa Mjini, Nahitaji awe muelewa na muaminifu, awe na uzoefu. Kama yupo njoo PM tufanye mawasiliano Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom