Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nasambaza hotelini, na kwenye bar. Bei 18000 - 20000, maongezi yapo. Napatikana Gongo la Mboto (Ulongoni). Mawasiliano: 0676-346579 / 0687-708379
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 Jumla kuanzia kilo 6 Napatikana Bunju 0658236797
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life. Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
APPARTMENT HOUSE FOR RENT🔥🔥 Very latest apartments. ✍️✍️ Location: Kiwalani Kijiwe Samli, Mama Samia Suluhu Road. ✍️Vyumba Viwili Kimoja Master ✍️Sitting...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Wakuu habari zenu, Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JamiiForums maana nimekuwa nikifaidika kila mwezi kwa kupata kipato cha kununulia vocha mjini. Niliweka post humu JF...
19 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwenye link ya group za funny and memes
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Kila mtu anajiuliza hivi naanza vipi kufungua ofisi yangu ya Steshenari? Au inatakiwa niwe na kiasi gani? Jibu ni moja tu sis kama MachapishoAgentLtd tupo kwaajili ya kukufungulia milango ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar na Mwanza. Mwenye Saloon Car ambayo nawezakutumia kama Taxi anistue. Mwanza ni bora zaidi maana lengo ni kutumika hukohuko mwanza,au hata Dar inaweza kupigwa mashine hadi Rock City. Mahitaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza...
1 Reactions
69 Replies
16K Views
NATURAL SKIN SOLUTION IMANI YETU Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani wakuu, naomba kujua bei za mashine ya kubind na lamination
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Kumekuwa na tatizo kubwa sana kuhusiana na ubora wa PASSPORT SIZE kawaida ya passport size inataiwa iwe na background ya Light blue na siyo dark blue na pia Dimensions za passport size ni (45mm ×...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Greetings wakuu. Inatafutwa Crown Majesta yenye hali nzuri, isiwe na kipengele chochote kwenye engine(hapa naomba nitilie mkazo wakuu, engine isiwe kimeo kwa namna yoyote ile). Ikipatikana...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Kiwanja kiunauzwa kipo madale kina uku wa square meter 520 Tsh 9,000,000 kina barua ya manunuzi kutoka serikali ya mtaa huduma zote za kijamii zipo Tuwasilane 0686995586 karibu sana.
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Nina Kamera mbili nilinunua nikiwa naanza kujifunza maswala ya picha, kwa sasa sizitumii, bado ziko kwenye hali nzuri sana, nauza kwa bei ya kutupa. Sony nex-6 Iko na chaji yake na kit lens...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna page Instagram nimekuwa nikivutiwa na viatu vyao lakini nikitaka kutoa order wanasema wanauza jumla na sio rejareja. Mwenye uelewa anisaidie jinsi naweza kununua pairs chache kwa ajili ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Back
Top Bottom