iwe ni smartphone,iwe inasupport modern features km whatsapp na apps kibao nzuri
napenda zaidi samsung galaxy pocket,huawei bt ikiwa tofauti na hizo hamna tabu!!
Offer 150k,nipo dom!!
Simu...
Wadau habari,
Nahitaji pavement cutter mpya au used inayofanya kazi mwenye kufahamu au kuwa nayo tuwasiliane. Nitapenda kujua ana model gani, bei na kama ni mpya au used.
Asanteni
Dear JF Members and Non-JF Members
Hi, how are you?
Purchasing property is a brilliant idea one can ever have in a lifetime. I am here to help people out in making this very important choice...
THE CAR: NISSAN XTRAIL SPORT
Chesis no: JN1TANT30U0023865
Engine no: QR20DE
Colour no: KX4
Colour: Silver
Registration NUMBER: T117 CAS
Model code: TDANRFTT30EEAGWJA
Fuel: Petrol
YEAR OF MFG: 2002...
Nyumba ya 4 bedroom 2master bedrooms,study room,dining room ,jiko lenye makabati, ina Maji na Simtank 2 za 1000 ltrs
location: mbezi mwisho 10 minutes walking distance from mbezi bus stop kodi...
ipo freshi kabisa, ni black colour, haijawahi kufunguliwa na fundi, uki-google utaiona specs zake vizuri. Haina dosari yoyote. Bei 120,000. Piga 0714-408238.
Kiko Kiseke (low density), mita chache kutoka barabara kuu.
Kina ukubwa wa 60.72m x 30.0m, kimepimwa na kina offer letter.
Bei 30M Dalali hatakiwi, kinauzwa na mmiliki.
Serious buyers only...
Nauza Camera ndogo na kazuri sana kama inavoonekana katika picha,imetumika uingereza na model yake ni MHS-PM5K pamoja na memory Card ya 4GB.Rangi yake kama mnavoiona ni pink na inafanya kazi...
iPhone 4s original inauzwa, mpya kabisa ipo kwny box lake. Bei ni laki tisa haipungui kwakuwa ni sim ya uhakika. Kama upo tayari ni-pm number yako kisha nakupigia mara moja. Napatikana chuo kikuu...
Nyumba zipo tabata chang'ombe mbele kidogo zilipo kota za veta, km2 kutoka tabata-baracuda!!
**Nyumba hizi zipo katika kiwanja kimoja ambacho hakijapimwa bado ila kina umiliki halali.
**Gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.