Haina shaka.Ila sina zaidi ya hichoNitafutie mie vya 3m...mpaka 5m...Hicho kiko juu..sana process zingine ntafanya mwenyewe...
Mji umebadilika sana.Kiseke? Kmbe sjafka mwanza sku nyingi ee? Enzi zle viwanja nyegez california ilkuwa 0.7-2M lol! Mwanza ooh mwanzaaa, mwanza mji mzuri eee!
Kiko Block A kiseke. (Maarufu kama kiseke ya Breweries)Kiseke ipi?
Nitafutie mie vya 3m...mpaka 5m...Hicho kiko juu..sana process zingine ntafanya mwenyewe...