Natafuta simu ya fasta ya kununua!!

Natafuta simu ya fasta ya kununua!!

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
iwe ni smartphone,iwe inasupport modern features km whatsapp na apps kibao nzuri
napenda zaidi samsung galaxy pocket,huawei bt ikiwa tofauti na hizo hamna tabu!!
Offer 150k,nipo dom!!

Simu 0752385949,0783055356
 
mmmh..kwani hili jukwaa limewekwa kwa ajili gani bro?au mi ndo wa kwanza kutangaza ds kind of bzness??..so ishu..
 
Hela ndogo hiyo.
Kama wewe mtu wa apps ... nakuletea SHARP DocoMo kwa milioni moja.
 
iwe ni smartphone,iwe inasupport modern features km whatsapp na apps kibao nzuri
napenda zaidi samsung galaxy pocket,huawei bt ikiwa tofauti na hizo hamna tabu!!
Offer 150k,nipo dom!!

Simu 0752385949,0783055356

Kuna Nokia N8 mpya kabisa inatakiwa 460,000 ni nzuri sana(touch screen,unaweza kuchomeka flash)
 
iwe ni smartphone,iwe inasupport modern features km whatsapp na apps kibao nzuri
napenda zaidi samsung galaxy pocket,huawei bt ikiwa tofauti na hizo hamna tabu!!
Offer 150k,nipo dom!!

Simu 0752385949,0783055356

Nokia N8=460,000.
 
IPO Samsung Galaxy Ace white in color, imetumika for three weeks (still has all its accessories). Bei lakin230,000
 
Back
Top Bottom