Nyumba 4bedroom kodi laki 280

Nyumba 4bedroom kodi laki 280

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,386
Reaction score
582
Nyumba ya 4 bedroom 2master bedrooms,study room,dining room ,jiko lenye makabati, ina Maji na Simtank 2 za 1000 ltrs

location: mbezi mwisho 10 minutes walking distance from mbezi bus stop kodi Tsh.280,000/- kwa mwezi

call 0715 354565 for more details
mbezi hse.JPG mbezi hse2.JPG
location of google maps
https://maps.google.co.tz/maps?q=mb...+es+Salaam,+Kinondoni,+Dar+es+Salaam&t=m&z=16
 
Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa..
 
Vp maji...fence... ukubwa wa vyumba..?

weka namba nikupigie..!!
 
Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa..
nadhani umechanganya madesa, hii nyumba haijatangazwa.
nyumba ni mpya haijakaliwa/kuishi watu.
 
Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa..

Usiku hapalaliki mkubwa, mnajikuta wote mmenda kulima mpunga na kurudishwa alfajiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom