Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wakuu, Nimefunga Container ambalo ndani yake kuna Jeki 100, kama kunamtu atahitaji iwe kwa jumla ama rejareja tafadhari naomba ani- PM. Container litafika mwezi January. Bei ni Tsh 10,000/-...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Webmaster Home anakupatia ushauri wa bure kuhusu makwazo yoyote binafsi yanayokukabili au magumu yoyote ya kimaisha na utatuzi wake pia anatoa fursa kuuliza swali lolote kuhusu maisha unaliliona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
unaitaji kutengenezewa grille za milango, madirishapamoja na madirisha ya aluminum, fens na kazi zote zinazohusu welding. piga simu 0715 824677 0767 824677 0784824677 or 0713526346 tupo kimara mwisho
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Kiwanja cha ukubwa wa heka 1kipo Tegeta basihaya mita 60 toka barabarani hakijapimwa Bei 16m 0657 145555 & 0755 099 291
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf ninauza simu ya samsung galaxy s 2... iko kwenye condition nzuri na nimetumia kwa muda mchache tu This is how the phone looks aliyekuwa yuko tayari kwa biashara...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Toyota Land Cruiser for sale Year- 1999 km-300,000 cc-4164 Transmission- Manual Fuel- Diesel Last owner- WHO Tanzania Starting price- 39.5m Serious buyers only just PM me
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza pikipiki aina ya bajaj ct-100 bei 1.5m
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu naitaji chumba na sebure Mbezi beach au kunduchi beach au mitaa ya upanga, chumba kiwe self
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Vifaa hivi vinauzwa kimoja kimoja na vipo DAR Ilala ama Buguruni.Kumradhi kidogo sijui sehemu yenyewe maana nimekodi duka kwa muda mfupi ili kuwepo urahisi kwa wanunuzi kwenda kuviona.Na mimi...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Maeneo yote ya nje ya mji wa arusha are great, ikiwa maeneo ya arumeru its awesome pia ila isiwe tu maji ya chai. Apartment hiyo iwe na facilities kama maji na umeme, na iwe na 2 bedrooms na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
186 ACRES,farm at kigamboni kimbiji (potea) ,45km toka kivukoni (kuna mikaratusi , minazi , michungwa na miembe ya kisasa liko kwenye barabara kimbiji kwenda tundwi bei 900mil. piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mabao za kilimo mbao laini za dawa na zisizo za dawa size yoyote tunasambaza maeneo nilio ya taja hapo juu. Zanzibar,comoro,mombasa,mafia mzigo wowote unaotaka tunasambaza kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu. Naomba kujua ikiwa kama naweza kupata habari sahihi juu ya uwepo wa charger za simu zinazotumia betri za kawaida, hususani betri ndogo, yaani charger zisizotumia umeme...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
many people say have smartphones but they are not real smartphones, this is a exactly smartphone, it is like a small pc in your pocket! come from USA, used very little and in excellent...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
we r going to offer our customers the highest quality car wash experience by bringing car wash to your door
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina mizigo hii 2 ni mipya kabisaa samsung pocket bie yake ni 150 mwisho 130 na pia nina Sony Xperia brand new bei yake ni 550 mwisho 500! Kwa mawasiliano zaidi check me on 0656-072553 na...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Nauza laptop aina ya Dell Latitude D620 kwa bei ya sh.250,000/- tu. Kama unahitaji nicheki kwa 0713218388 kwa wanunuzi tu.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ndugu naitaji chumba na sebure Mbezi beach au kunduchi beach au mitaa ya upanga, chumba kiwe self
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba kwenye plot 23*25 bedrooms 4 master kubwa ukumbi mkubwa jiko,store dinning inauzwa Mbezi Juu jirani na Tatedo bei 40m mwenye interest ani PM naambatanisha picha
0 Reactions
21 Replies
2K Views
ni dell n5050, zipo kwenye maboksi kabisaa gonga hapa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…