ina vyumba vitatu vyote ni self contained, ipo mikocheni kwa warioba karibu na oxford library/bookstore.
bei ni 1000 usd kwa mwezi.
muhitaji piga 0654363028
Ndugu habari zenu.
Jamaa yangu wa karibu anauza gari lake aina ya opa.
Bei 8,250,000 tsh
Maelewano yapo
Gari lipo dar
Namba yake ya simu 0716554555.
Gari imetembea kilometa 100,300
Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2, mwisho wa mwezi huu. Dhamana niliyonayo ni kadi yangu ya NSSF ambayi ina mil.1 (hata na Passport yangu kama atahitaji).alienayo anicheki kwenye...
incubator ya mayai 24 kwa 650k
incubator ya mayai 176 kwa 8k
incubator ya mayai 264 kwa 1m
incubator ya mayai 1024 kwa 1.2m
kinu ya chakula 1.2m
machine zote mpya na certificat approved
220v...
Shamba la hekari 16 linauzwa
lipo wilaya ya Tameke Dar es Salaam
Amani gomvu ni mwendo wa 32km toka feri ya magogoni
shamba lipo tambalale
gari linafika mpaka shambani
umeme upo umbali wa 1.km...
habari wadau kuna rafiki yangu anahitaji gari aina ya TOYOTA CORONA T I!!mwenye nayo tuwasiliane lakini atoe sifa za hiyo gari pamoja na GHARAMA halisi............negotiable
Kwa mahitaji ya vitabu vya aina mbalimbali, calculators, na batteries za simu na camera, chargers, power supply ambavyo huwezi kuvipata hapo Tanzania kirahisi, ebu tuagize sisi tukufatulie kwenye...
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).
Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa...