Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana...

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,519
1,082
Hayo mayai yamekuwa siri mpaka mtu akupm?Weka details zako hapa ziwe wazi ili biashara yako ishine.
 

Inqusitor

Member
Sep 27, 2012
29
8
Google sio ya bundi boss...
Bei iko hivi nauza kwa trey Tsh 13000.Napatikana Waterfront na Kibaha..Ukinipm ndo naweza kukupa number ya simu.
 

MAWERE

JF-Expert Member
May 24, 2012
448
53
Ok.wanajf mimi pia ni mfugaji mkongwe nipo kibamba njia panda ya shule. Kuku wangu wanakula nje ni wa kienyeji 100% ninayo majogoo nayauza tsh 20,ooo mitetea 17,ooo..not negotiable!!sec mayai yapo kwa order safi kwa watoto ,wagonjwa,na kwa matumizi ya kawaida,nayo ni ya kienyeji kwa asilimia 100% bei yake kwa tray ni 15,000.pia kwa wafugaji wa bata mzinga ninao wadogo wa miezi miwili, na miezi minne hapa bei ni maelewano..zaidi ya yote wanajf hasa mama joe/wengine, tutafutane tupeane updates za ufugaji bora na makini..it can be done play your part........................my cellphone.......0782-44-84-63
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,617
1,163
Nitakupigi kwa ajili y vibata mzinga. Kama tutabaliana bei nitkuja kuchukuwa kadhaa wk end hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom