Natafuta Motherboard ya laptop HPCompaq Presario cq70

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Mwenye nayo ani PM tafadhali, nimeharibikiwa na Kitendea kazi na ndicho kinachonifanya niishi mjini.............

1346533341_434693832_1-Hp-Compaq-Presario-CQ70-2009-model-Attingal.jpg

Hp Compaq Presario CQ70
 
Mkuu pole sana ila nikipata nitakushutua ila kuna bango hapo juu wanasema Mtaa wapemba na Livingston kunakila spare za laptop mkuu nenda kacheck !
 
Mkuu pole sana ila nikipata nitakushutua ila kuna bango hapo juu wanasema Mtaa wapemba na Livingston kunakila spare za laptop mkuu nenda kacheck !
Ahsante sana Mkuu KakaKiiza, nimejikuta navamia kitendea kazi cha mama Ngina na sasa tumebaki kunyang'anyana...
Ngoja kesho nitapita maeneo hayo kucheki kama tutapata............
 
Last edited by a moderator:
brother wangu wa ukweli, nakushauri kachukue laputopu mupya pale sonash maana bei ni rahisi na ni imara, ingekua mazabodi ya deskitopu ningekushauri ununue ila izo vipakato mh! itakusumbua
 
brother wangu wa ukweli, nakushauri kachukue laputopu mupya pale sonash maana bei ni rahisi na ni imara, ingekua mazabodi ya deskitopu ningekushauri ununue ila izo vipakato mh! itakusumbua

Ngoja tu nicheze pa potea maana tangu ninunue haijamaliza miezi sita ishakufa motheboard....
 
Pole sana ingekuwa dell ningekupa bure fata ushauri wa KakaKiiza
nivea nakushukuru kwa kuonyesha kuguswa na tatizo langu.... Kuna dalili zote nikatoweka mtandaoni kwa muda kidogo, maana kitendea kazi cha mama Ngina kina masharti ile mbaya.............
 
Last edited by a moderator:
kaka, agiza eBay iyo mamamwili wa kipakatio, ila hapa utaumizwa tena, nakupenda kaka yangu sipendi uingie mkenge huku wataaalamunino tupo
manoah bana,. kwani umesahau kuwa mie ni KANJANJA.........?
 
Last edited by a moderator:
Mwenye nayo ani PM tafadhali, nimeharibikiwa na Kitendea kazi na ndicho kinachonifanya niishi mjini.............

1346533341_434693832_1-Hp-Compaq-Presario-CQ70-2009-model-Attingal.jpg

Hp Compaq Presario CQ70

nitakuuzia mshine kama hyo bado mupya mupya inamiezi miwili tu nitakupa kwa laki 350000tsh tu,ina minor problem ukiwasha ina load kama dakika 3 ndio window inaanza ila haina tatizo lingine lolote,hlo tatizo linatengenezeka kwa wataalam,ukihitaji twanga 0713388226
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom