CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Nataka kufanya biashara ya kuuuza vinywaji moto na baridi morogoro mjini.Kama kuna anayejua existing bar inayokodishwa ili nianzie hapo, anijuze tafadhali hapa au PM
Asante kaka, naelekea hukoNenda msamvu nyuma ya mabanda yanayozunguka stendi ya dodoma kuna baa ilikuwa inakodishwa,
Jina silikumbuki, ila imeezekwa kwa makuti