Shamba linauzwa heka 100 lipo Lupunga - Kibaha.

Shamba linauzwa heka 100 lipo Lupunga - Kibaha.

ngogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
359
Reaction score
54
Shamba hilo lipo kijiji cha Lupunga barabara ya Mzenga bei 1m kwa heka nitafute kwa 0717000990.
 
Kaka mambo ya hati yakoje? hilo ondoa hofu kila kitu kipo kisheria mkuu
 
Shamba hilo lipo kijiji cha Lupunga barabara ya Mzenga bei 1m kwa heka nitafute kwa 0717000990.
Nataka kwa ajiri ya kilimo cha bustani,jee kuna maji?umeme?barabara safi itakayoniwezesha kuwahisha mazao yangu sokoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom