Kipindi hiki ni msimu wa kuvuna mananasi,nianatafuta mtu anayeweza kununua kuanzia nanasi 1,000-2,000 kila wiki kuanzia sasa hadi mwhishoni mwa february mwakani. bei maelewano piga 0714432979
Kassamali,ulitoa majibu ya thread nami nilishawishika kwa majibu yako na nilitaka tuwasiliyane zaidi na nikupatie vielelezo zaidi. Tafadhali rudi tuwasiliyane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.