Bajaj, bajaj ... Bajaj!!! Ya Ukweli

Bajaj, bajaj ... Bajaj!!! Ya Ukweli

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,155
Reaction score
1,868
Wakuu,
Nina Bajaj naiuza. Vielelezo (specifications) vyake ni kama ifuatavyo:

  • Ni 4 strokes (205 cc)
  • Ni ya April 2011
  • Iko Dar es salaam.
  • Bei ni Tshs 1,700,000=

Iko katika hali nzuri na zaidi kuiona ni bure. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hizi 0714 539 263 / 0753 965 636


Sababu ya kuiuza ni kuwa ninatarajia kusafiri kwenda nje ya nchi kwa kipindi kirefu na sina mtu ninayemuamini wa kuweza kumuachia biashara hii.

Haya tena mwali ndio huyu hapa karibuni sana.
Photo0521.jpg Photo0520.jpg
 
Ishauzwa hii wadau. Thanks to JF for connecting people.
 
Back
Top Bottom