Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hii ni camera moja kali sana utafurahi kwa matumizi yake.Picha zake ni nzuri sana na imewekwa lens ya sigma ambayo kali sana.Imetumika kiasi lakini ipo katika hali nzuri kabisa wala haina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, ninahitaji kununua Unlocked 3G Vodacom Modem Kwa Bei Poa
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Kenta mpya inahitajika,mwenye kujua anijulishe pliz,aainishe na bei kabisa! Ili nione kama nitamudu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahitaji solar panel watt 100 pamoja na gharama zake. natanguliza shukrani
0 Reactions
23 Replies
14K Views
iwe maeneo ya upanga au posta mwenye uelewa ani pm
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Natufuta used engine ya Landcruiser, 1PZ, 5 cylinders. Kama unajua wapi naweza kupata au unajua mtandao ninaoweza kuagiza straight from Japan, nitashukuru
0 Reactions
5 Replies
1K Views
:israel:kampuni ya mobile power imetoa ofa ya punguzo la 25% kwa huduma zake za .kushoot video za harusi,kitchen part,sendoff,mikutano pamoja na kupiga picha .kushoot video za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eneo lipo Kibaha mkoa wa Pwani kata ya Visiga kituo cha madafu, kufika kwenye eneo ni kilometa 3 kutoka barabara ya morogoro, linafaa kujenga, kufuga, kulima. Bei Milioni 2. Mawasiliano 0714404057
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Lipo kibaha eneo la Visiga kilometa 3 kutoka barabara kuu ya morogoro road. Lingine kilometa 6 kutoka morogoro road, yanafaa kufuga, kujenga, kilimo. Bei milion mbili kila moja. 0714404057
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Naitaji Corrola NZX engine model ya mwaka 2003, Mile 75K maximum, rangi yoyote ile. Au naitaji GX115 ya mwaka 2003-2005, CC 2000, Mile zisizidi 75K. Bei maelewano, sitaki bei za wazimu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukubwa ni heka 5, umbali ni mita 500 kutoka Morogoro road, maeneo ya Visiga madafu, bei ni 125m.umeme upo pamoja na maji, ni zuri kwa yadi, godaun, nk. simu 0764434673.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Plot ya ukubwa wa futi 90 kwa 50 inauzwa, maeneo ya Toangoma kwa Sako. Ni karibu kabisa na shule ya sekondari ya St. George. Limezungukwa na makazi ya watu. Bei ni sh. mil 2.2. Hamna dalali. Simu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Naweza kulipa laki 8 au 9 kwa mwezi. Nitaweza kupata nyumba Kawe beach, Jangwani Beach au Mikocheni? Au nisijisumbue niende tu nikatafute maeneo ya Mbezi beach, Kijitonyama na Makongo...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Tuko Mbezi GOBA karibu na msikiti njia panda ya Kinzudi, kwa maneno mengine njia panda ya kwenda Goba sekondari. Tunamkaribisha mteja yeyote mwenye kuhitaji mchele safi kwa mauzo ya jumla. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We have all kind of used cars from muscat oman to daresalam port for good price
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana wanajf kuna viwanja vinauzwa maeneo ya chamazi mbagala vinapimwa kwa mita futi kuanzia 40x60 na kuendelea utakavyo mteja kupimiwa bei ni kuanzia 2milioni na kuendelea kwa anayehitaji...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
habarini wadau nilikuwa nauliza bei ya hiyo simu kwa bei ya jijin Dar es salaam nitapata kwa Tsh ngapi kwa simu Mpya?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nauza shampoo beipoa lita5 sh 7,000,litamoja 1,500.nipo dar tuwasiliane 0717215506,ukiniuzia madumu10 ya lita5 nakupa pesa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…