Nahitaji Solar Panel 100 watt.

Nahitaji Solar Panel 100 watt.

Benard kombe

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
139
Reaction score
41
nahitaji solar panel watt 100 pamoja na gharama zake.
natanguliza shukrani
 
nahitaji solar panel watt 100 pamoja na gharama zake.
natanguliza shukrani

Unataka panel au complete system?

Uko tayari kusubiri kwa siku 28? Tunazo kutoka China. Usafiri ni meli.

Karibu.
 
Unataka panel au complete system?

Uko tayari kusubiri kwa siku 28? Tunazo kutoka China. Usafiri ni meli.

Karibu.
hebu tuwekee hizo panels za watts tofauti na bei zake, hasa complete system na bei zake . nataka complete system yenye nguvu ysa 2000 watts
 
Naomba tuwasiliane kwa e-mail ya ofisi yetu: info@g12.hk

Welcome

weka taarifa iliyo kamili hapa jukwaani mkuu wahitaji tipo wengi.... Tunataka tupelekee wazee wetu vijijini wapate mwanga na wao.... G12
 
Last edited by a moderator:
weka taarifa iliyo kamili hapa jukwaani mkuu wahitaji tipo wengi.... Tunataka tupelekee wazee wetu vijijini wapate mwanga na wao.... G12

Wadau wa Solar!
Bei ni kama ifuatavyo:
Kazi kwenu kuchagua mnachokipenda.

Part I: Solar power system
ID
Power (Watt)
Bei in USD
Dimension in cm
Remarks
1
5,000
5,435

2
3,000
3,451

3
2,000
2,200

4.
1,000
1,446

Part II: Solar power system
ID
Power (Watt)
Bei in USD
Dimension in cm
Remarks
1
1,000
1,511

2
100
410

Note:

  • Part I: ni aina bora zaidi kuliko part II, uchaguzi ni wako mteja.
  • System nzima haizidi 0.3 cubic meter( meter za ujazo)
  • Ikiwa unataka pro forma invoice, tafadhali toa details zako, k.vJina kamili, anuani, simu, kampuni lako au lenu, n.k
Mnakaribishwa.

G12, International Co. Ltd.
 
nahitaji solar panel watt 100 pamoja na gharama zake.
Natanguliza shukrani

kama uko hapa mjini hebu tembelea pale zara solar -red cross building,corner of morogoro rd/bibititi jama nimenunua pale watt180-kama mpaka kuifunga na kila kiti jana hiyohiyo 1.5m ogopa sana kuna vifaa vingi feki vya solar hawa wanakupa guarantee ya 5yrs .
 
Wadau wa Solar!
Bei ni kama ifuatavyo:
Kazi kwenu kuchagua mnachokipenda.
Note:

  • Part I: ni aina bora zaidi kuliko part II, uchaguzi ni wako mteja.
Mnakaribishwa.

G12, International Co. Ltd.

Sasa mbona 1000 watt ya part I ni rahisi kuliko II
1
1,0001,511

4.
1,0001,446
 
kama uko hapa mjini hebu tembelea pale zara solar -red cross building,corner of morogoro rd/bibititi jama nimenunua pale watt180-kama mpaka kuifunga na kila kiti jana hiyohiyo 1.5m ogopa sana kuna vifaa vingi feki vya solar hawa wanakupa guarantee ya 5yrs .
hiyo ya watt 180 uliyochukua yaweza kurun vitu gani!kwa matumizi ya nyumbani (jiko friji taa heater) inatosha?
 
hiyo ya watt 180 uliyochukua yaweza kurun vitu gani!kwa matumizi ya nyumbani (jiko friji taa heater) inatosha?

hii inawasha tv 24/7, heater , taa 18 blender matumizi mengi tu ya nyumbani ila pasi ,jiko wala pump hapana labda iwe yatumia umeme mdogo kabisa .inakuwa ni betri2,inverter, charger controler, na zile panel kubwa 2.yaani system nzima.iko vizuri sana
 
hongera umejikomboa na huu umeme wa muongo!!ila vipi security yake vibaka hawawezi kuipandia huko juu ilikowekwa!!
 
hongera umejikomboa na huu umeme wa muongo!!ila vipi security yake vibaka hawawezi kuipandia huko juu ilikowekwa!!

swali la msingi sana hili unaweza ukaichomelea alafu ukasakafia kabisa.nashukuru ndugu yangu ila huko kwangu hata huu umeme wa muhongo sijui utafika lini na ni hihii DSM TENA NATUMIA 300 KUFIKA MJINI HAHAHAHAH JITAHIDI UNUNUE MIMI NILIANZA NA ILE NDOGO INAUZWA 140,000/ INAWASHA TAA 4 NA UNACHARGE SIMU .NZURI SANA HAIJAWAHI NISUMBUA ILA KKOO WANAUZA 300,000/= HAPO NLIPONUNUA HII NIHIYO BEI HAPO.JITAHIDI UANZIE NA HIYO ACHANA NA MISHUMAA.
 
amesema kunatofauti ya ubora,naona kuna fake na original!

Ndio point yangu mkuu ukiangalia vizuri bora zaidi ina bei rahisi kuliko yenye ubora wa chini ndio maana nikauliza labda amekosea
 
Ndio point yangu mkuu ukiangalia vizuri bora zaidi ina bei rahisi kuliko yenye ubora wa chini ndio maana nikauliza labda amekosea
mkuu hawa wakuwa nao makini hiyo wanayo weza kusema ndo origina wanakuuzia then wanachukua ile wanayosema wanahamishia kwenye location ya original!!wana mchezo mchafu sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom