Naitaji Corolla NZX 2003-2005 au Mark II GX115

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wakuu,

Naitaji Corrola NZX engine model ya mwaka 2003, Mile 75K maximum, rangi yoyote ile.

Au naitaji GX115 ya mwaka 2003-2005, CC 2000, Mile zisizidi 75K.

Bei maelewano, sitaki bei za wazimu kwani nibora ni ode mwenye Japan, usisingizie ushuru kwani najua ushuru bandarini shilling ngapi.

Nataka gari hilo kwa ajili ya mke wangu.
 
Magari yote hayo ninayo, bei ni m15 kila moja. Hutaki, agiza Japan mwenyewe

Huu ndio wazimu ninao ukataa CIF Dar es Salaam gari lolote kati ya hayo ni 3,500 USD, bandari hizo model zote ni below 2000 CC nalipa 2,500 hapo ni dolla 6000, nikupe Million 2 faida. Uza kwa Million 11 leo.
 
Hapo bado port charges, Clearing agent fee, na vimbwanga kibao + usumbufu wa TRA + registration + headaches . Kwa hiyo pesa yako nakupa Toyota vitz ya 2008.
 
Hapo bado port charges, Clearing agent fee, na vimbwanga kibao + usumbufu wa TRA + registration + headaches . Kwa hiyo pesa yako nakupa Toyota vitz ya 2008.

Sasa kaka sikia sikuu hii, nimekupa huo mchanganuo wote hapo bado unataka kunikaba. Hizo headache na usumbufu namaliza kesi nakupa M12 uza GX115 ya 2003. Done toa namba ya simu na eneo la lot nitume kijana. Hapo nikuondolea vurugu ya kulala nayo hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom