Viwanja vinauzwa maeneo ya chamazi mbagala

Viwanja vinauzwa maeneo ya chamazi mbagala

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Waungwana wanajf kuna viwanja vinauzwa maeneo ya chamazi mbagala vinapimwa kwa mita futi kuanzia 40x60 na kuendelea utakavyo mteja kupimiwa bei ni kuanzia 2milioni na kuendelea kwa anayehitaji nitampeleka kwenye hivyo viwanja. Kama unahitaji lazima uwe serious kununua na mtaandikishana kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa wa eneo lile mimi napafahamu na ninacho kiwanja changu ni sehemu nzuri sana ni maeneo ya barabarani kwa ndani karibu na nyumba za habitat zilizojengwa hivi karibuni kwa maawasiliano wasiliana nami via email hii; nikprintgraphics@yahoo.com au kwa namba hii 0784 960517 utaelekezwa hasa siku za kukupeleka ni jmosi na jpiili kwani katikati ya siku nipo ofisini na siwezi toka.
 
Back
Top Bottom