Plot Inauzwa

Plot Inauzwa

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Plot ya ukubwa wa futi 90 kwa 50 inauzwa, maeneo ya Toangoma kwa Sako. Ni karibu kabisa na shule ya sekondari ya St. George. Limezungukwa na makazi ya watu. Bei ni sh. mil 2.2. Hamna dalali.
Simu: 0652807772. Karibu.:happy:
 
toangoma kwa sako ndio wapi huko muwe mnatoa ramani kamili watu waelewe
 
kigamboni hiyo.ukitoka feri- mji mwema- kibada- mikwambe- then toangoma ni sehemu nzuri sana na mji ule unakuwa sana
Duh!kweli nimekubali Dar es salaam ni jiji kubwa!
 
Sio kweli, is 90/3 times 50/3 = 528 sqm

Ni kweli alichosema Mfuatiliaji na wewe ndio sio mkweli......

90/3.3 times 50/3.3 = 413.223 m sq

Mita moja ni futi 3.3 na sio futi 3 kamili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom