Shampoo beipoa

Shampoo beipoa

Boniface m

Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
55
Reaction score
10
Nauza shampoo beipoa lita5 sh 7,000,litamoja 1,500.nipo dar tuwasiliane 0717215506,ukiniuzia madumu10 ya lita5 nakupa pesa.
 
shampoo gani hiyo?. shampoo inayo tumiwa na wakina mama walio wengi inayo uzwa bei ya juu ni movit na tressa. bei ya movit ni 8500 hadi 9000 na tressa 12000/-kwa lita 5 zikiwa na seal yake kwa hapa dar. shampoo nyingine zote ni chini ya hapo. sasa hilo toleo jipya unalosema wewe ni lipi?. naomba unipe jina la hiyo shampoo mkuu. nataka nikaitafute ili nijue bei zake ndo tufanye biashara. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom