Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Samsung A13 dark blue color Ni 64 GB, ram 4 gb. Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi. Simu ipo Dar Imetumika miezi 11. Unapewa charger, box, risiti. Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Inauzwa Million 12.5. Ipo kwenye hali nzuri kabisa na haina error yeyote kwenye dashboard. Inauzwa kwa sababu ningependa kununua gari kama hii ya miaka ya karibuni...
2 Reactions
53 Replies
22K Views
Kwa wale walaamu na wenyewe uzoefu wa hizi kazi za kudesign package za kupakia unga nk..’ Nataka mtu ambae anaweza kunidizainia package ya unga wa lishe yenye muonekano mzuri. Nitumi sample DM...
3 Reactions
5 Replies
839 Views
Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TANGAZO TANGAZO KWA WALIMU WANAOHITAJI KUJIENDELEZA. KAMPASI YA ADEM MBEYA IMEANZA KUTOA MAFUNZO YA 1. DIPLOMA YA UONGOZI WA ELIMU (DEMA/DELMA) 2. DIPLOMA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE (DSQA) KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natarajia kufungua ofisi hivi karibuni Kwa yoyote anayeuza vifaa vya ufundi simu nanunua bei ni maelewano
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jipatie Magic pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana Kitunda - Dar...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF nauza hivo Vifaa; -Kabati kubwa ngazi tatu -Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa -Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida -Jiko la mishikaki -Meza ya kuweka Kabati -Makalai mawili ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayeuza biashara ya carwash iwe (profitable na bei isizidi million 8 ) tuwasiliane 0718029972
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Inakila moter na kila kitu kasoro card yakununua mpya bei 1.2 m. 0652595942.
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Habari wakuu, kwa wale ambao ni wapenzi wa simu za kizamani ( Old School ) za button na za touch, ninauza Spare za hizo Simu, kuanzia mikanda, Speakers, mic, slot za SIM card, na vioo. Models...
2 Reactions
0 Replies
375 Views
Karibu nikuunge na WiFi ya hapa dukani kwangu yenye speed ya 30Mbps/s ushushe files utakazo kwa gharama nafuu. Napatikana Ilala, shauri moyo. Gharama ni Tsh elfu 5 kwa GB 10 kwa kutumia computer...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Subaru xt CC 1990 Full ac Full doc Gari inaviwango vyote, gari haihnunuliwa mkononi gari imeagizwa kutoka japan, colour blue, usajili namba DN, imekaza sana. Inataka mil 16.5 Location, picha...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Moka Pot Espresso Coffee Maker. 3Cups. 65,000/=. Electric single hot plate 40,000/= Mkoani(Nje ya Dar) utachangia usafiri Tshs 10,000/= tu. 0715 240 140.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Google pixel 4a 5G Specifications Ram 6 Storage gb 128 Battery 3500mAh Internet 5G Bei 380,000 ofa ya week 1 Delivery✅ Tupo kariakoo mtaa wa Agrey na likoma Piga 0699517063 uhudumiwe haraka
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nisiwachoshe husika na kichwa habari hapo juu, Naitoa hii gari bila kuwepo kwa dalali wala mtu mwingine wa kati na biashara nataka iwe ya uwazi kwa kila member kuweza kuchangia na kutoa ushauri...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…