😁😁😁😁Post ya 2015 dah....nlishtuka kinomaAlipatikana mkuu, alikuwa salama kabisa
Shida ya thread mtu akikomment tu inaenda kwenye trendingWakuu wanafukua makaburi, mwenyewe mpaka nilishamsahau huyu mtoto. Hata nikikutana nae leo njiani simkumbuki kabisa.