Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,115
Kwa wale walaamu na wenyewe uzoefu wa hizi kazi za kudesign package za kupakia unga nk..’
Nataka mtu ambae anaweza kunidizainia package ya unga wa lishe yenye muonekano mzuri.
Nitumi sample DM, nikirizika na sample yako tunaweza kufanya kazi zaidi kwa sababu ni kazi zaidi ya moja.
Asante