Phone4Sale Nauza display za Simu za kizamani, Lg, Samsung, Blackberry, Sony, Nokia Model zote.

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,128
12,216
Habari wakuu, kwa wale ambao ni wapenzi wa simu za kizamani ( Old School ) za button na za touch, ninauza Spare za hizo Simu, kuanzia mikanda, Speakers, mic, slot za SIM card, na vioo.

Models ambazo spare zake zipo ni
*Nokia
*Sony Ericsson
*Samsung
*Lg
*Blackberry

Karibuni sana wahenga 0759851222
5FC739BC-D579-451C-ACC1-02766B081BED.jpg

86FE6DD0-457A-47FE-9195-FEA56D7E423E.jpg
 
Back
Top Bottom