Mkuu,
Hizi gari issue sio spares tena. Zipo na kama hazipo zinagizika bila matatizo. Matatizo yake mengi yanatabirika. Ikichomekwa kwa computer inakupa report ya kila kitu mpaka lini break zako zitakwisha baada ya km ngapi.
Mimi bahati nzuri nimebahatika kupata mtu mmoja fundi mhindi ana bei nzuri sana na amesomea kabisa haya mambo na ndio mtu peke anayeshika hiyo gari, nakuunganisha naye mnaendelea. Na mimi pia nitakupa support kila mara unapohitaji msaada. Na mimi nanunua ingine kama hiyo miaka ya karibuni.
Ni gari ambayo ukitunza na yenyewe itakutunza haswa. Na ukianza endesha hizi gari huwezi rudi tena Toyota.