Car4Sale Nauza Gari yangu kwa Member Mmoja ambae anahitaji gari

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
109
164
Nisiwachoshe husika na kichwa habari hapo juu,
Naitoa hii gari bila kuwepo kwa dalali wala mtu mwingine wa kati na biashara nataka iwe ya uwazi kwa kila member kuweza kuchangia na kutoa ushauri.
Make : Nissan Tiida Latio
Engine: MR 18
Engine size: 1789
Year : 2005 .
Price : 8 Mil
Price pamoja na Usajili kwa jina la muhusika.


Gari ina engine sawa na Nisaan Dualis ambapo Dualis ni MR 20 na hii ni MR 18 so namtoa wasiwasi katika engine stability na upatikanaji wa vipuri sababu watu wanaogopa Nissan kwa ajili hiyo.

Changamoto katika Gari.
Imepauka kwenye bonet la mbele, paa na boot la nyuma ambalo kama muhusika anaweza naweza msaidia fundi kwa kumdirect au kama atafanya mwenyewe sawa ambapo gharama ni kama 250,000 pekee nimeshindwa kupaka mm sababu ya dharura ya kuuza gari.
N.b Huyo Fundi ni wa kampuni ya Beforward so anapiga rangi vizur na bila kugundulika na gari haipigwi sehemu zote ni kwenye changamoto, msioelewa gari mkiagiza kama zina shida either melini au vipi ya kupauka huwa hawa jamaa wanawapigia rangi na kuwakabidhi na hauwezi jua kamwe.

Bei ya gari ukiagiza kutoka japan ni million 13 mpaka 14, lakini kwanini mimi nauza hiyo sio gari mbovu au ya wizi bali ni kuwa gari hiyo mimi nimeuziwa na TRA ndo mana nauza bei hiyo niliuziwa mimi kwa 7 Mil nina full document nimeitoa bandarini jana tu.
Nauza sababu nimepata dharura siwezi itumia tena nina changamoto za kiuchumi.
Naambatanisha picha kwa picha zaidi unaweza ntafuta kwa namba zangu zote zipo whatsap

0677210276 au 0763950219 . Unifate inbox kwa serious customer maswali mengine yote nayajibu hapa nimesema biashara iwe ya wazi naamini nachouza. Nipo Dar muda na Dakika yoyote ukiwa interested unaweza kuona gari njoo na fundi wako kama una mashaka gari ni mpya ilikaa bandarini kwa muda jua ndo mana imepauka rangi kwenye hizo paa.
20220602_125515.jpg
20220602_125504.jpg
20220602_125427.jpg
20220602_125437.jpg
20220602_125452.jpg
20220602_125427.jpg
 
Mrejesho gari nimeshaiuza asanteni sana.
Bro Ahsante sana.
Hii thread imenimotivate sana.
Umeandika Tangazo Kiufundi sana.
Lakini Pia nimepata hamu ya Kutafuta pesa Zaidi.
Lakini Kuna Engineers fulani huwa wanavusha gari kutoka zenji Kwa Bei Chee. Nimezidi kuamini hii michezo.
Nimefurahi sana mKuu.
 
Kama ulivyosema awali kila kitu utakifanya kwa uwazi basi sio mbaya ukatushirikisha namna ya kupata gari TRA
 
Back
Top Bottom