Nokia lumia 610 with windows mobile 7.5 ram 256 na storage capacity 6GB kwa laki 380,000/= tu
Blackberry curve 9320 kwa laki 320,000/=
Kwa uhitaji niinbox
Compaq Presario
Widescreen HD
Ram 1gb
Hdd- 80gb
WLAN
DvD/Cd Rw
Bei ni 400,000/=
Ni Used lakini ipo katika hali nzuri sana
Kwa mawasiliano -
0682 017 620
Wahi fasta mzigo upo sokoni
Wandugu nauza mbwa jike aina ya GS mwenye umri wa miezi 7.
Bei yake ni Laki 4 tu.Mwenye kumhitaji ani PM. Picha nitaweka kesho
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mie naitwa Atubariki : kwanza poleni na mihangaiko ya kila siku nawaombe wale mlio bahatika kujenga ila bado hamjamalizi hususani kazi zinazohusiana na mbao kama vile kitchen,walldrob,door mie...
Good quality speakers for sale That will tear down the whole building once turned on....Be carefall...can cause hearing loss once turned up to maximum...:)
600,000tsh
+255 756 412 337
nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya mbezi hapa goigi.
ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda kwa miguu ni...
Eneo la ukubwa wa hekari 3 kwa ajili ya parking na matumizi mengine linauzwa.
Bei: maelewano
Eneo lipo: Chapwa- Tunduma mita 70 kutoka barabara kuu ya Mbeya-Tunduma
Kwa Mawasiliano: 0717378462...
Vitalu/Plots/ Primary Mining License (PMLs) vya madini ya Dhahabu, Shaba na Alumasi vinauzwa.
Eneo: Iramba-Singida kwa zile (PMLs) za Dhahabu & Alumasi
: Chunya-Mbeya kwa zile(PMLs) za...