Mashine(Printer) ya Ku-print T-shirts

Mashine(Printer) ya Ku-print T-shirts

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061
Wapi ninaweza pata hio Printer? na bei zake kwa mwenye idea
Wadau fungukeni
 
Nenda sido zipo kuanzia laki nane
 
Kaka sido ya wapi mana nilijaribu kuwasiliana na sido na wakasema hawana
 
Hii hapa inauzwa

1326266463_298692825_2-Pictures-of--Complete-T-shirt-printing-equipment-for-sale.jpg
 
Mkuu hata mm naihitaj hiyo machine pls tupe hiyo bei......
 
Hizi mashine jamani nendeni veta dsm kitengo cha screen printing pale kuna bwana mmoja ukitoa oda anauza kwa usd 3000 kama sikosei ya mikono kuanzia minne.....ila kwa china na south afrika mpaka unaifikisha hapa bongo ni usd 2000 hivi ila mimi kuna fundi mmoja pale buguruni alinitengenezea kwenye miaka ya 2005......
 
Fanya homework kidogo, ujifunze namna za Tshirt printing na tofauti zake, kisha ufanye decision kulingana na mahitaji ya soko lako, unaweza kununua HeatPress baadae ukaja kugundua labda ungenunua DTG ingekuwa bora zaidi. Unavosema unahitaji Mashine ya kuprint tshirts ni sawa na kusema unahitaji gari! Take your time brother, jaribu kujifunza kwanza kabla haujatumbukiza pesa yako sehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom