Bei ya Chuma Chakavu

Bei ya Chuma Chakavu

Buggy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
236
Reaction score
61
Naomba mdau yeyote anisaidie kunipa bei ya sokoni ya chuma cha kavu. Inauzwaje kwa TANI/KILO? Mie nina mzigo mkubwa chuma chakavu hapa Dar nataka kuuza.
 
Nina tani zaidi ya 700

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mkuu Buggy tutafutane kesho kuanzia saa 5 kwa ajili ya kufanya tathmini ya bei kulingana na chuma kilivyo. Contact 0712232849
 
Mwananyiha: si ungesema bei yako, mbona kiswahili kinaakuwa kingi?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom