Projector inauzwa.....bei ni laki tatu

Projector inauzwa.....bei ni laki tatu

0714 943684 ndio namba ya kuwasiliana na nn

Kuna projector za aina mbalimbali na kazi mbalimbali, hatujui ni projector gani unayotutangazia. Ungeeleza matumizi yake, bila kusahau kuweka hapa kivuli chake itakujengea soko zuri bila kusumbuliwa na maswali mengi ambayo yanaweza kuepukika.
 
Nami nahitaji Projector mkuu nitakutafuta ila inakaa masaa mangap ukianza kuitumia??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom