Natafuta kazi

atubariki

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
225
17
Mie naitwa Atubariki : kwanza poleni na mihangaiko ya kila siku nawaombe wale mlio bahatika kujenga ila bado hamjamalizi hususani kazi zinazohusiana na mbao kama vile kitchen,walldrob,door mie hizo ndo kazi zangu jamani nipeni hiyo kazi nitashukuru kwn mtakuwa mmenisaidia sana Nipeni kazi MUNGU atawabariki. Simu namba 0766504050
 
Jamani nipo sirias natafuta kazi hy kama mnataka picha ya hz bzaa fungua facebook ya Yessaya Atubariki Ngumba mtaona picha za milango ninayotengeza
 
Nisaidie kunipa kazi nyie mnaojenga jamani mie fundi selemara
 
We manitu,Mwombe Mungu kwanza mana, yeye ndo mtoa riziki kwa kila mja wake.mana amesema,asiyefanya kazi,hata akinawa, Asile ! Omba kwa bidiiiiiiii !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom