Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari Cardina inauzwa, iko katika hali nzuri, inatumia spring na inafaa kwa ajili ya biashara mjini na hata vijijini, ipo dar es salaam. garama ni 6m. kwa maelezo zaidi piga 0654721287.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana jf, nahitaji tanzania phamarcy council registered phamarcist kwa ajili ya kusimamia phamarcy yangu iliyopo dar.mshahara maelewano...serious applicant..plse pm
0 Reactions
3 Replies
920 Views
habari wana jf napenda kuwatangazia kua nauza iphone 5 ambayo nimeinunua mpya na nimeitumia wiki tatu tu haina mchubuko wowote na ipo ktk hali nzuri haina matatizo bei nataka mil 1.4 (1400,000/=)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu mm ninauza gari aina ya toyota vx limited haijawahi kupata ajali ilikua haina safari za mbali pia ipo fresh hali nzuri bei 32,000,000 kwa mawasiliano 0712-212220 zaidi angalia picha...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
KWA ANAEHITAJI KUJIFUNZA MUZIKI DODOMA, yani; KUPIGA VYOMBO, VOCAL,n.k, wasiliana na mwalimu(0713845964).
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Memory card 1gb& 2gb =tsh5000 for 50pcs cartridge=tsh25,000/= Ream cartons!=50,000/=
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nissan partol manual five door black metaric........imetembe kilometa chache ipo oda bado inauzwa bei chee milion 19..... Anae hitaji nipigie 0713935738
0 Reactions
31 Replies
3K Views
HTC one X New with box ---- 980,000Tsh SOLD HTC sensation NEW no box! ---- 750,000Tsh SOLD GALAXY NOTE 10.1 used ---- 986,000Tsh SOLD GALAXY NOTE 2 newno box 32GB----...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka, kipo eneo la mateves karibu na Arusha Airport, kinauzwa Millioni kumi na tano, kwa mawasaliano 0757531210.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari aina ya toyota land cruser prado inauzwa ipo arusha na ni imported kutoka japan this month in CC 2690 imetembea km 38502 inatumia petrol na ina piston nne kwa anahitaji wasiliana nami kupitia...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
TOYOTA grand verossa 2000 cc, ni ya VVTI engine, colour silver, imetembea 130000km,namba ya usajili CBH,gari ya mwaka 2002..Inauzwa bei 15MILION.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Milango mitatu ubungo riverside kwa laki moja tuu kwa kila mwezi (wafanyabiashara) unaweza kuli[pia kwa miezi kumi au mwaka mzima karibu uone au pigaa simu namba 0653757557 au 0764435828 karibun...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Raharaha Arts Troupe inasaka wasanii na vipaji vifuatavyo:- 1- Wasanii wa sarakasi wa aina zote 2- Wasanii wa ngoma za asili yaani wapigaji, waimbaji na wachezaji Kwa kazi za sanaa za ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eneo linauza ukubwa NUSU ACRE kibaha misugusugu, linatambulika na serikali ya mtaa hata kwenye mauziano lazima watahusika Tsh 2.3Mil atakevutika na sehemu anicheki!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipitia humu JF na kukuta matangazo mengi ya kuuza viwanja maeneo ya tegeta, boko, na madale. Na mengine humu yanasomeka kiwanja kipo eneo fulani na ukiwa serious unataka kununua...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu natumai mu wazima! Nahitaji ushauri katika manunuzi ya TOYOTA SIENTA (2003-2004) Katika kupitia website tofouti tofouti nimeona CIF yake sio mbaya, ila kuna vitu nahitaji kujua Mfano...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unapenda kuwa wakala wa star times ?, uwe unauza decoder/ voucher za star times huku kampuni ikikupatia matangazo/ banners..na vitendea kazi vingi kama fulana nk ?! Please tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
5K Views
habari wanaJF, naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Ndugu zangu natafuta nyumba ya kupanga Moshi mjini Kuanzia mwezi huu wa January 2013, eneo la karibu na usafiri wa daladala. Iwe na walau vyumba viwili vya kulala na sebule, jiko (kitchen) na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
- - TUNAFUNDISHA TUITION KWA LEVEL ZIFUATAZO. QT & RESEATERS - v-O – LEVEL (FORM I – IV) - v-A –LEVEL (FORM V & VI) History, Geography, Economics, Pure Mathematics & Applied Mathematics. - v-PRE-...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…