New iPhones 64GB, Black in colour

New iPhones 64GB, Black in colour

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
ni mpya, factory unlocked ipo KWENYE BOX na ina all accessories.. SMS/CALL 0763299478

@ 600,000
 
Weka price na picha if possible
 
ni mpya mkuu ina lailoni kabisa so sikuona humuimu wakuweka picha
 
Leo nilikuwa k/koo maduka ya cm nkakuta vijana wata3 wanunua cm iphone nyingi wanaweka kwenye mikoba yao na kila moja walikuwa wanaiwekea lebo walipoondoka nikamuuliza yule mwenye duka mbona hawa jamaa walikuwa wanaweka lebo za nini? Akajibu hizo iphone ni za kichina i mean ni feki so wanakwenda kitaa kuwapiga watu wakiwadanganyia lebo eti hzo ni orginal mpoo wakuu muwe makini na makanjanja.
 
Kweli kuna iPhone za kichina zina lebo ya apple tena zinaonyesha zimetengenezwa USA. Mchina balaa.
 
Back
Top Bottom