Gari inauzwa - VITARA

Gari inauzwa - VITARA

Joined
Sep 6, 2011
Posts
28
Reaction score
5
Grand Vitara ya mwaka 2000 Silver in color, three door it is out there for sale.
Contact No. 0712 477976
 
Kiongozi,
Nilitoa guide lines ya kuweka matangazo kwenye jamii forum ili uweze kuuza kwa urahisi. Naomba uitafute ilikuwa na kichwa cha habari "matangazo kwenye Jamii forum"
Hili tangazo lako halijitoshelezi wala halivutii kwa hiyo ni vigumu kupata mtu sahihi wa kununua...
 
Grand Vitara ya mwaka 2000 Silver in color, three door it is out there for sale.
Contact No. 0712 477976

Picha muhimu, imetembea KM ngapi? Bei ya kuanzia? Inapatikana maeneo gani km mtu atataka kuiona..na hata sababu za kuuzwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom