Bei yako ni ngapi umeandaa@mi ninayo kama dau lako litani impress nakuachia maana nina mpango wa kuagizia nissan patrol
Weka Picha Specification na mwisho bei
Mkuu kuelimisha ni muhimu...usiwe na hasira katika hilo kiongozi...we umeelewa post inahitaji nn. Au unakurupuka tu kama first bao.