msaada wa contacts za fundi mtaalam wa PC dAr

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari!
Nilikua naomba msaada wa contacts za fundi ambaye anaweza kunitengenezea laptop yangu imezima gafla haiwaki
 
mkuu pale Mwenge karibu na GHOROFA LA NAKIETE PHARMACY kuna kighorofa kingine kwa mbele yake kama unaelekea bamaga kimeandikwa WATSACCOS hapo hapo kuna mafundi Laptop balaaa aisee
 
Thanks a lot brother
Am on it
Ngoja kesho niwaamkie asubuhi na mapema
 
Back
Top Bottom