Nyumba ya vyumba 3 vya kulala inapangishwa

Nyumba ya vyumba 3 vya kulala inapangishwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Nyumba ipo mbezi mwisho kibanda cha mkaa ina sifa zifuatazo
0.5 toka barabara kuu lami .
vyumba 3 vya kulala 1 master
sebule , jiko , luku ya kujitegemea , haina ukuta ila gari inafika mpaka kwenye hiyo nyumba ,
maji ya bomba yapo, bei ni 250,000 kodi ya miezi 6 inakubaliwa
tuwasiliane : 0657 145555, 0755 099 291 na 0772 008866 mi ni dalali.


Pia ktk mtaa huo hou kuna nyumba ya vyumba 2 vya kulala, sebule , jiko na choo inajitegemea .kwa kila kitu bei 200,000 kodi miezi 6.
tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu
 
0.5 nn/ what! maembe, nanasi, Ndugai /Makinda! !!! kutoka barabara kuu ya lami. metric system please.
 
0.5 nn/ what! maembe, nanasi, Ndugai /Makinda! !!! kutoka barabara kuu ya lami. metric system please.
0.5km . umbali toka barabarani ni nusu kilometa ,hayo maembe unauza bei gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom