Nyumba inauzwa tegeta

Nyumba inauzwa tegeta

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
364
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained. Ina jiko, sehemu ya kulia chakula na subure. Imekamilika. Mbele yake kuna msingi wa nyumba nyingine. Kiwanja kina hati miliki. Bei ya hii nyumba ni shilingi 250mil. Ukiwa unahitaji kuiona piga simu 0717114409 kuweka Appointment.
 
Attachments

  • te 1.jpg
    te 1.jpg
    54.5 KB · Views: 198
  • te 2.jpg
    te 2.jpg
    46.1 KB · Views: 174
  • 26771.jpg
    26771.jpg
    25.2 KB · Views: 168
  • 26772.jpg
    26772.jpg
    36.8 KB · Views: 144
  • te 5.jpg
    te 5.jpg
    38.8 KB · Views: 163
Sawa kaka tumeona ila hiyo million 250 si mchezo, naona kama bei na nyumba yenyewe havilingani. Anyway, mimi si mnunuzi nimechangia tu!!!!!

Tiba
 
Mkuu Kitomai, Tegeta ni kubwa sana na pia toa maelezo yanayoeleweka. Ni Tegeta ipi? nyumba ipo kwanye kiwanja chenye ukubwa gani? n.k
 
I hope hakuna utapeli hapo... maana maeneo ya tegeta kwa changa la macho, ni balaaa!
 
Hiyo rangi ya nje karibia iendane na nyinyiemu. Uweke discount ya ku-repaint.
Nyumba nzuri lakini.
 
Sawa kaka tumeona ila hiyo million 250 si mchezo, naona kama bei na nyumba yenyewe havilingani. Anyway, mimi si mnunuzi nimechangia tu!!!!!

Tiba
kaka umesahau bongo nyumba ni bei kubwa kuliko hata kwa Obama,hizi bei wala hazilingani na hali halisi,hata kiwanja ambacho miaka 5 iliyopita kilikuwa kinauzwa milioni moja sasa ni milioni 50,soko la nyumba na viwanja bongo ni fake yaani haliendani na uhalisia wowote,na si ajabu majumba mengi hayana wapangaji
 
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained. Ina jiko, sehemu ya kulia chakula na subure. Imekamilika. Mbele yake kuna msingi wa nyumba nyingine. Kiwanja kina hati miliki. Bei ya hii nyumba ni shilingi 250mil. Ukiwa unahitaji kuiona piga simu 0717114409 kuweka Appointment.

unajiropea bei tu,milion 250 najenga nyumba mbili na,ela ya kutosha inabaki,iyo jiuzoe mwwnyewe.
 
Fall in love with a location. Kinachofanya bei ya nyumba kuwa kubwa ni location siyo nyumba. Hizi nyumba zako mbili unazijengea wapi. Pia kuna wengine hawataki usumbufu wa mafundi wanataka ready made houses.
 
Kwa hiyo unatumia kigezo cha watu wanaotaka nyumba ready made kupandisha bei? eti 250m halafu bado atakuambia umpe 10% ya udalali. Hawa ndo madalali wa CCM lao moja kumaliza mwananchi wa kawaida...
 
Sawa kaka tumeona ila hiyo million 250 si mchezo, naona kama bei na nyumba yenyewe havilingani. Anyway, mimi si mnunuzi nimechangia tu!!!!!

Tiba

kaka umesahau bongo nyumba ni bei kubwa kuliko hata kwa Obama,hizi bei wala hazilingani na hali halisi,hata kiwanja ambacho miaka 5 iliyopita kilikuwa kinauzwa milioni moja sasa ni milioni 50,soko la nyumba na viwanja bongo ni fake yaani haliendani na uhalisia wowote,na si ajabu majumba mengi hayana wapangaji

Fall in love with a location. Kinachofanya bei ya nyumba kuwa kubwa ni location siyo nyumba. Hizi nyumba zako mbili unazijengea wapi. Pia kuna wengine hawataki usumbufu wa mafundi wanataka ready made houses.

Bongo vitu vingi haviendani na thamani yake halisi,
TSH 250,000,000 = USD 160,0000

Haya linganisheni na hii nyumba ya USD 159,000/=hapa chini ipo kwa OBAMA , sehemu ghali kuliko yote duniani,
Watervliet, NY 12189
  • Address:403 5TH AV
  • County:Albany County
  • Status:Available

0

5

Single Family Home for sale at 403 5TH AV, Watervliet, NY, 12189
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom