Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei milioni 18.5 serious buyer ni PM ntakuelekeza iko katika hali nzuri haijachuja
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau habari zenu matatizo ya umeme yamenifika shingoni. naomba msaada wa mawazo kabla sijanunua inverter ningependa kujua yafuatayo 1. ni aina gani ya inveter ni imara na ina ufanisi mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Heshima mbele wakubwa. Nilikuwa na kakazi kadogo ka ujenzi hivyo ilinibidi kununua baadhi ya vitu ikiwemo mbao na milunda baada ya kumaliza kazi nimegundua kuwa sitakuwa na nafasi ya kuvitumia...
1 Reactions
6 Replies
47K Views
Nahitaji toyota brevis au verosa tufanye barter trade,nina gari mbili nitazitoa (honda fit 2003 na mazda demio 2003)
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nokia lumia black 601 nauza kwa laki tatu na sabini tuuu. Call me 0713935738
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mkaka wa miaka 34, naishi nje ya nchi ila narudi Tanzania baada ya muda mfupi ujao. Natafuta chumba kimoja kwa muda wa siku 12 hadi 13 nitakapokuwa Tanzania. Kuna baadhi ya watu wenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Fundi mahiri wa kusuka genereta 15kva na kuimechIsha na avr yake anahitajika. Tuwasiliane 0786 021840
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Htc window phone 7.5 iko ktk hali nzuri...ina uwezo mkubwa sana...unaweza check specification ktk net....bei ni laki 4 maelewano yapo...contact zangu ni 0764731318
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau hebu nijuze, unaweza kupata access ya mawasiliano ya simu ie msg za mtu kwa kipindi fulani kwenye makampuni ya simu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza galaxy s3 brand new kwa lak 7.5. Haijatumika iko boxed. Kwa anayehitaj nchek via whatsapp kuptia 0717354243
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Fundi alluminium wa madilisha,milango,makabati,partions,na kudesign chochote mob:0713353350 ofc: KALIKOO
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau ni wapi tapata simu za kichina soft touch na blackberry kwa bei ya jumla kwa hapa dar, ambae anajua tuwasliane bei iwe kuanzia elfu 35, tachukua za milion 1. Mawasiliano ni 0766988326 au...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
imetumika kidogo,bei sh 320,000/= namba 0713656256
0 Reactions
1 Replies
931 Views
WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau, Nauza kiwanja changu kilichopo Kigamboni, eneo la Kibada chenye details zifuatazo. Ukubwa ; Sqm 846 Umbali from main road; 200m Umbali from ferry; 14km Status; Kimepimwa (Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, natafuta housing ya Compaq Presario V4000,ambaye anayo tuwasiliane kupitia namba hii 0653-060320.nipo Dar..
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nzuri engine yake ni 3s ina cc 1988 imefika imesajiliwa tu imepark haijatumika kabisa ina kila kitu hadi alam milion 18.5
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…