simu kwa bei ya jumla

simu kwa bei ya jumla

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Wadau ni wapi tapata simu za kichina soft touch na blackberry kwa bei ya jumla kwa hapa dar, ambae anajua tuwasliane bei iwe kuanzia elfu 35, tachukua za milion 1. Mawasiliano ni 0766988326 au Email, patrickmadiya@ymail.com. KAMA UNAZO NITUMIE CONTACT ZAKO.
 
Tafuta ukikosa ntakuangalizia hapa dubai kuna wachina wanauza simu kwa jumla...uzuri ni kwamba utumaji wake ni rahisi na ndani ya siku 14 mzigo utakuwa umefika dar +971504374387 dubai
 
mkuu wa huko Dubai mimi ninahitaji simu moja tu aina ya HTC Butterfly, vipi unaweza niambia gharama yake na usafirishaji? Thanks!
 
Tafuta ukikosa ntakuangalizia hapa dubai kuna wachina wanauza simu kwa jumla...uzuri ni kwamba utumaji wake ni rahisi na ndani ya siku 14 mzigo utakuwa umefika dar +971504374387 dubai

ok takucheki mkuu, bt bei iwe nzuri.
 
Back
Top Bottom