kwa mahitaji ya huduma mbalimbali za mifugo kama vile matibabu chanjo ushauri na upatikanaji mifugo kama ng!ombe wa kisasa mbwa kuku kuuza au kununua tuwasiliane kwa no 0714134004 or...
habari wana jamvi. naomba kuuliza kuna uwezekano wa kupata nyumba eneo la nje ya kidogo ya dar kwa milioni kumi? sio mpya ni zile ambazo ukinunua lazima ufanye marekebisho.....
Ninauza madirisha ya mninga,nayatoa mkoani. Kwa sasa ninayo ya futi 5x6,bei nafuu, yana ubora wa hali ya juu.Waweza kutoa oda kutokana na vipimo vyako.Piga 0718908594 na 0784 944028
Natafuta gari kati ya hizi hapa (Carina, Mark II, Caldina, Stalet) iwe katika hali nzuri na yenye nyaraka zote muhimu ambazo sio questionable. Whoever has please contact me at 0716 260 774 (Do not...
Ni chumba na sebule. Cha kulala ni self contained. Na kuna bafu na choo tena ipo kwa nje which means wageni ama ndugu watakuwa wanalitumia watakuwa hawatumii bafu lako la ndani.
Ni kimara baruti...
Kwa mtu anae hitaji kuku na mayai ya kuku wa kienyeji wasiliana nami kwa namba 0756868912
bei yao kwa mtu anae chukua kuanzia kuku 20 ni shilingi 10000/= kwa kila mmoja wana umli usiopungua miezi...
Wakuu nauza kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili na sebule cha ukubwa wa robo eka Chanika karibu na kituo cha daladala cha Chanika. Eneo ni zuri sana watu wamejenga majumba mazuri ya...
Habari wakuu, nauza hii tablet ya Asus Nexus 7 Na in support sim card na wireless so unaweza itumia kama simu na matumizi mengine makubwa.
Ina specification zifuatazo,
Ram 1gb
Android os 4.0.1...
Apple MacBook (13.3-inch)
Processor type: Intel Core 2 Duo
Speed: 2.4 GHz
RAM: 250GB
PRICE: TSHS 680,000 BUT VERY NEGOTIABLE
KAMA UNAHITAJI NICHEKI KWA WHATSAPP AU KAWAIDA 0713218388 E-mail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.