Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 364
Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo nalo lina tiles. Mbele kuna nyumba kubwa ya mwenye nyumba. Mwenye nyumba si mkaazi wa dar es salaam. Huja mara chache sana mara nyingi anaishi nkoani. Nyumba zote zimezungushiwa uzio wa matofari alaf juu a ukuta pamewekwa nyaya za umeme za kuzuia waarifu. Kodi kwa mwezi tshs 600,000/=. Kuitazama piga simu 0717114409 au 0755312233