Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza kufika kwa gari bila tatizo au kwa mguu kutoka kituo cha mabasi kwenye barabara ya lami. Umeme upo karibu sana kwenye nyumba za jirani bado kuvuta tu. Kinauzwa sh. milioni 12. Picha ninazo kwenye flash ila nimeshindwa kuziweka hapa kwenye jamvi. Mwenye ujuzi how to attach them here msaada tafadhali. Kwa mawasiliano piga simu namba 0769 449485.