next
JF-Expert Member
- Nov 2, 2007
- 604
- 185
wadau habari zenu
matatizo ya umeme yamenifika shingoni.
naomba msaada wa mawazo kabla sijanunua inverter
ningependa kujua yafuatayo
1. ni aina gani ya inveter ni imara na ina ufanisi mkubwa
2. dadi na ukubwa wa betri.
nataka niwe na uwezo wa kuwasha taa sita, fridge moja ya 300 litres,
fani mbili na tv moja.
for at least six hrs
natanguliza shukrani zangu