Tv samsung lcd

Tv samsung lcd

chingunduli

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
268
Reaction score
51
Nahitaji tv ya samsung flat screen inc 32 iwe ya kisasa mpya au used ila iwe na hali nzuri bajeti yangu ni Tsh laki5. Nipo dar. Namba yangu ni 0713872828
 
Ziko mpya dukani, moshi LCD na LED bei ya LCD 548000 bei LED 911999.
 
Ninayo. Ila ina tatizo la Display. Inaptisha Mstari kwenye Kioo. Wataalam wanadai diSplay yakubadili. Nnaiuza kwa 450,000. Kioo unaweza kupata kwa laki hadi laki2. LCD bado iko Bomba. Imetumika 2yrs Only. Ni Pm tafdhali kama unataka Kuiona.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu mimi nataka nzima kabisa na ikiwezekana mpya.
 
tafuta 600000tsh nikuelekeze dukani mpyaa wapata LED 4th series warantee miaka 2
 
Kama upo siriaz njoo na lak 6 na nusu tu. Nikupatie LED nch 32 mpya na upya wake. Ninazo mbili nauza moja. 0713401812
 
k/koo utapata za singsung mkuu,

Najua kuna Singsung, lakini pia zipo Samsung. Kumbuka kwamba sio kila mtu analipa kodi nchii Hii, kwa hio usishangae kununua TV ta milioni 2 kwa shilingi laki tisa
 
sio duka langu jamani,ni kariakoo mtaa wa congo kama waenda mnazi upande wa kulia kuna duka moja la wahindi ndio wanauza bei hyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom