Yu Tong inahitajika

Yu Tong inahitajika

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Bus aina ya Yu Tong used kiasi linahitajika kwa yeyote mwenye taarifa za muuzaji.
Hali ya gari iwe inaridhisha
Iwe na uwezo wa kwenda route za mbali kama vile kahama, mwanza, arusha etc
Isiwe ilishapata ajali
Iwe na tracking history nzuri ya service and maintenance
Iwe na viti 2x2
Rangi yoyote japo njano na kijani si chaguo la kwanza ila itaingia kwenye makubaliano km hali zingine ni nzuri
Iwe imelipiwa kodi na ushuru wote wa serikali au iwekwe wazi kama inadaiwa
Malipo kwa Tzs
Bei isiwe kubwa sana ya kukomoana
Dalali hapendwi sana japo anaweza kusikilizwa
Nikipata mapema nitawapa taarifa
Picha mhm sana.
 
Nenda tarime pale utazikuta zakaria zimepaki pale, mtafute mzee zakaria uchek nae
 
Poa mkuu wangu ila kwa sasa nataka kuchek hapa hapa Dar kama vipi nitaenda. Thanks mkuu
 
Unajua ubora wa magari haya lakn? Meng yako juu ya mawe wakati hata miaka mitano haijafka toka yaanze kazi waulize green star
 
Mkuu nashukuru pia kwa alert yako. Kwa kweli siyajui kwa maana ya technical issues. Ila nasikia brands kama scania, man, benz, nissan, isuzu ni bei juu sana.
 
Mi nimefurahi tu kwa kua huzimikii rangi za kifisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom