Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta apple laptop Mac Book air ambayo ipo katika hali nzuri.,.mwenye nayo naomba ani pm kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PERFECT BUILDERSExperts in Building Design and Construction Contact PersonArch. Macha AlbertTel: 0716-692928 0752-381305Solution for Low,Medium and HighIncome earnersMlalakuwa, University...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salaam.. simu simple yenye hali nzuri na access ya internet, touch screen itakua nzur zaidi na bei ya kawaida tu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
punguzo la magari mwaka 20013 jipatie gari kwa bei nafau sanaa kupita kwenye tovuti yetu.www.jordanexpress.co.tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nokia lumia 800 black 14gb used lakini haijawai kutumika bongo 0713935738
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina sim aina ya sony expiria st25i black 4gb inte space....nitafute kwa namba ya sim 0713935738
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naitaji namba za fundi wa mabwawa ya samaki plz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji order ya sim original unayohitaji. Nokia samsung blackberry htc iphone hauwei sony expiria sonyericson expiria sms zinaruhusiwa pia kwa order asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Sumsumg sgh-I927 mpya kama ilivyo nichek 0713401812
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kazi kwenu mashamba na viwanja hivyo Arusha 1st Kikwe and Nambala farms details: This is a fast developing area for resident and investments. Its along Old Moshi road and a railway...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Husika na kichwa habari hapo juu, Mwenye kuwa na ufahamu wapi nitapata Machine nzuri kwa ajili ya mgahawa zenye uwezo wa kutengeneza espresso na cappaccino. Naomba ani-PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna redio,reciever,home theaters,speakers,printers and more stuffs.zinapatikana pale Kinondoni hananasif karibu na kituo cha polisi cha Mrema.Wasiliana na wahusika Mr Elias simu 719 102188 Mama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nauza whirlpool washing machine mpya kabisa imported from Uk,haijawahi kutumika......full automatic washing machine 1250 spin(variable 800...100 spin)....ina option kwa ajili ya hand wash clothes...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna nyumba ya kupanga chumba na sebule maeneo ya mwenye inageti, parking,maji ,luku yako kodi laki2 na nusu kwa mwezi ukiitaji nipm
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Hdd 160, 2gb of ram, 1.8 GHz intel core dual. 15" screen Used. Bei TZS 300,000 Tu. 0713338342
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Naombeni mnielimishe wanajamii wenzangu,je utawezaje kupokea fedha/mzigo kutoka nje ya nchi. Naombeni kuelezewa kwa kina.
0 Reactions
3 Replies
994 Views
salaam ndugu wana jf,chumba kinauzwa na vitu vilivyomo ndani,km kitanda(5*6)godoro,meza,tv,radio feni,vyombo vya kupikia na vngine vingi,kipo mama joni atakayehitaji ani pm.ahsanteni
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunatoa huduma ya Web Hosting kwa Tsh 9,000/= kwa mwezi. tunatengeneza website kwa haraka na BURE kwa kila mteja anayelipia hosting. kwa kampuni na watu binafsi wanaohitaji kuwa na website, This...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Apartment inauzwa Mikocheni ni full furnished ipo Mikocheni kwa Warioba karibu na Supermarket ya Tns. Kwa mawasiliano zaidi piga no. 0717 11 12 12/ 0766 11 12 12
0 Reactions
22 Replies
3K Views
hivi hizi smartphones zinanichanganya sana, kuna nyingine zina at&t na nyingine hazina... Kwa mwenye ujuzi na hii kitu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom